Mlandizi College of Health and Allied Science iko Mlandizi, Pwani, karibu na shule ya msingi ya Uhuru. Chuo hiki kinatoa kozi za afya na sayansi shirikishi, na kinalenga kutoa elimu bora kwa wanafunzi.
Mahitaji ya Kujiunga
Jinsi ya Kutuma Maombi
1. Pakua FOMU YA MAOMBI hapa kisha ijaze na itume kwa mawasiliano hayo hapo chini
Mawasiliano
- Anuani: Mlandizi, Pwani
- Simu: +255 715562171 au +255 624961484
- Barua pepe: mlandizicohas@gmail.com au info@mlandizicollegeofhealth.ac.tz
2. Jaza ONLINE ADMISSION FORM